Monday, March 4, 2013

Wanamuona kichaa lakini anakipato kumzidi mwalimu

Mama huyu anasema tangu atoke nyumbani kwao Morogoro vijijini mwaka 1999, mpaka sasa amejishughulisha na kazi mbalimbali ikiwa kugonga kokoto, kutengeneza viatu lakini kwa kuokota chupa amefika!

“Kutokana na ugumu wa hii kazi, kila nikiamka asubuhi akili, nidhamu na aibu naviacha kitandani, ninachojua ni kuokota chupa tu, ikitokea mtu akinitukana huwa namchambua mpaka azimie,” hayo ni maneno ya Asha Salum (45), ambaye shughuli yake ni kuokota chupa za maji zilizotumika.

CHANZO: MWANANCHI

No comments:

Post a Comment