Tuesday, October 8, 2013

TAZAMA TANZANIA: AHADI KUU ZA RAIS KIKWETE 2010 - 2015



TAZAMA TANZANIA: AHADI KUU ZA RAIS KIKWETE 2010 - 2015:
Baadhi ya ahadi alizotoa Rais Kikwete, mwaka jana ni 
  1. Kujenga barabara za juu katika jiji la Dar es Salaam ili kupunguza msongamano wa magari,
  2. kujenga majengo ya biashara maarufu kama Machinga Complex mawili katika kila wilaya za mkoa wa Dar es Salaam. 
  3. kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya Ziwa, 
  4. kujenga hospitali katika kila jimbo, 
  5. kulipa madeni ya Chama cha Ushirika Mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) 
  6. Kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) –Ruvuma 
  7. Kununua meli kubwa katika Ziwa Victoria kuliko MV Bukoba iliyozama Mei 21, 1996 
  8. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa, 
  9. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa, ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. 
  10. Kuboresha barabara za Igunga –Tabora, Njombe- Makete, Musoma – Mto wa Mbu. 11.Kukarabati barabara ya Moshi-Arusha, na Singida-Dodoma.

No comments:

Post a Comment