Thursday, October 10, 2013

Breeking Newz: WAZIRI MKUU WA LIBYA ATEKWA NA WAASI WENYESILAHA

Waasi wenye silaha nchini libya wamemteka waziri mkuu wa nchi hiyo Bw. Ali Zidan na kumpeleka eneo lisilojulikan.

Msemaji wa Bw. Zidan ameiambia CNN kuwa waasi hao wameteka waziri mkuu akiwa katika hoteli moja jijini Tripoli na kutokomea nae kusikojulikana.

No comments:

Post a Comment