Friday, October 11, 2013

DIAMOND ASABABISHA MAUMIVU KWA MPENZI WAKE PENNY, AKIMBIZWA HOSPITALI BAADA YA KUONA PICHA ZA DIAMOND NA WEMA WAKIWA MALEYSIA

Mpenzi wa sasa wa msaniii Diamond na mtangazaji wa kituo cha televisheni cha DTV Penny amekimbizwa hospitali baada ya kuona picha zilizosambaa kwenye mitandao za mpenzi wake Diamond Platnum akiwa na mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu

Taarifa zinasema kuwa Penny alizirai na alikimbizwa katika moja ya hospitali  inayomilikiwa na kampuni ya AAR jijini Dar es Salam.

Diamond amekanusha kurejeana na Wema na kusema kuwa watu waliowahi kuwa wapenzi wanahaki ya kuwasiliana na kufanya mambo mengine ya kimaendeleo.

Taarifa za awali zinaema kuwa Wema Sepetu alikuwa nchini Chini katika mapumziko na alikwenda chini Maleysia kushiriki katika moja ya shoo za Diamond nchini humo ambapo alipokelewa na mpenzi wake huyo wa zamani.  

No comments:

Post a Comment