| Wananfunzi wa mwaka wa tatu wa shahada ya elimu na filosofia SAUT wakiangalia makaburi ya wazazi wa Baba wa Taifa Mwalim Nyerere katika makumbusho ya Mwalim Nyerere- Butiama |
| Wananfunzi wa mwaka wa tatu wa shahada ya elimu na filosofia SAUT wakiwa katika jengo ambalo lina kaburi la Baba wa Taifa katika makumbusho ya Mwalim Nyerere- Butiama |
| Muhadhiri wa chuo cha SAUT Mr. Mugishagwe akitoa amelekezo kwa wanafunzi wake wakiwa katika makumbusho wa Mwalim Nyerere Butiama |
| Radio alokuwa akiitumia Baba wa Taifa Mwalim Nyerere. Inauzito wa kilogram 20. |
| Wananfunzi wa mwaka wa tatu wa shahada ya elimu na filosofia SAUT wakiangalia vivutio vya kitalii katika makumbusho ya Mwalim Nyerere- Butiama |
| Wananfunzi wa mwaka wa tatu wa shahada ya elimu na filosofia SAUT wakiangalia vivutio vya kitalii katika makumbusho ya Mwalim Nyerere- Butiama |
No comments:
Post a Comment