Katiak vurugu hizo wananchi walikuwa na mapanga, marungu na wengine kushika matairi ya magari wakitaka kuchoma kituo hicho.
Inadaiwa kuwa polisi wa kituo hicho walimpiga Hamisi Mponda nakumsababishia majeraha na kuvuja damu nyingi kitendo ambacho kilimfanya alazwe katika hospitali ya Muhimbili na kufariki baadae.
Askari wengi walitanda katika kituo hicho, wananchi hao wamebadili hicho na kuwafanya wanachi wabadili utaratibu na kuamua kuzichoma nyumba za askari hao zilizopo pembezoni mwa kituo hicho bila kuhofu kitu chochote kinachoweza kuwadhuru.
No comments:
Post a Comment