Wednesday, March 12, 2014

TV 1 YAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAM

Mkurugenzi Mtendaji wa kituo kipya cha Televisheni (TV 1) Tanzania Marcus Adolfsson akizungumza na waandishi wa habari leo katika mkutano wa uzinduzi  wa TV 1 uliofanyika katika hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salam. Kituo hicho kitakuwa kikirusha matangazo yake kutokea jijini Dar es Salam na kuonekana nchi nzma kupitia king'amuzi cha Startimes katiak channel No. 103 
 baadhi ya Waandishi wa habari walioshiriki katika uzinduzi huo
Watangazaji wa kipindi cha The One Show kinachorushwa na TV hiyo Jokate Mwegelo na Ezden  Jumanne




No comments:

Post a Comment