Tuesday, March 25, 2014

SIMBA NA MAMBA WAZICHAPA KUGOMBEA MZOGA WA KIBOKO

Lion fights crocs over hippo

Ni jambo la nadra sana kuona wanyama wanaosifika kwa kuwala wenzao mbugani kuonekana wakipambana, katika picha hizi zilizopigwa na mtaalam wa masuala ya teknolojia kutoka San Francisco nchini Marekani, Richard Chew aliyekuwa kwenye mapumziko na mke wake  kwenye mbuga ya Maasai Mara iliyopo Kenya aliweza kunasa tukio la mamba akipambana na Simba mwenye njaa wakigombea mzoga wa kiboko aliyekufa Lion fights crocs over hippoA
Lion fights crocs over hippoANGALIA PICHA ZAIDILion fights crocs over hippo
Lion fights crocs over hippo
Lion fights crocs over hippo
Lion fights crocs over hippo
Lion fights crocs over hippo
Lion fights crocs over hippo
Lion fights crocs over hippo
Lion fights crocs over hippo
Lion fights crocs over hippo

No comments:

Post a Comment