Thursday, March 27, 2014

VIONGOZI WA KAMATI 12 ZA BUNGE MAALUMU LA KATIBA

Kamati  ya Uandishi 
Mwenyekiti - Mhe. Andrew Chenge, 
Makamu Mwenyekiti-  Mgeni Hassan Juma. 

Kamati ya Kanuni 
Mwenyekiti- Pandu Ameri Kificho
Makamu Mwenyekiti- Dkt. Susan Kolimba. 

Kamati Na. 1 
Mwenyekiti- Ummy Ally Mwalimu
Makamu Mwenyekiti- Prof. Makame  Mbalawa
 
 Kamati Na. 2  
Mwenyekiti- Shamsi Vuai Nahodha 
Makamu  Mwenyekitini  Shamsa Mwangunga

 Kamati Na. 3
Mwenyekiti- Dkt. Francis Michael
Makamu Mwenyekiti Fatma Mussa Juma.
 
 Kamati Na. 4 
Mwenyekiti- Christopher  Ole-Sendeka
 Makamu wake Dkt. Sira Ubwa Mamboya
 
Kamati Na. 5 
Mwenyekiti- Hamad Rashid Mohamed 
Makamu  Mwenyekiti- Assumpter  Mshama.
 
 Kamati Na. 6 
Mwenyekiti- Stephen Wassira 
Makamu Mwenyekiti- Dkt. Maua Daftari

Kamati Na. 7  
Mwenyekiti  Brig. Hassan Ngwilizi  
Makamu Mwenyekiti- Waride BakariJabu

Kamati Na. 8 
Mwenyekiti- Job Ndugai
Makamu Mwenyekiti- Biubwa Yahya Othman.
 
Kamati Na. 9 
Mwenyekiti- Hamidi Saleh
Makamu Mwenyekiti- Wiliam  Ngeleja

Kamati Na. 10 
Mwenyekiti- Anna  Abdallah
Makamu Mwenyekiti- Salmin Awadh Salmin

Kamati Na. 11 
Mwenyekiti- Anne  Malecela
Makamu Mwenyekiti- Hamad  Masauni

Kamati Na. 12 
Mwenyekiti- Paul  Kimiti
Makamu Mwenyekiti- Thuwaybah E. Kisasi.
 
Aidha, kwa uchaguzi huo, Mhe. Sitta  alitangaza wajumbe wa Kamati ya  Uongozi ya Bunge Maalum la Katiba ambao  ni wenyekiti wote wa kamati hizo wakiwemo wajumbe wengine watano aliowateua kwa mujibu wa Kanuni.
 
Wajumbe hao walioteuliwa na Sitta kuingia katika kamati ya Uongozi ni 
  •  Fakharia Khamisi Shomari
  • Mary Chatanda
  • Profesa Ibrahim Lipumba
  • Amon Mpanju
  • Hamoud Abuu Juma. 

Baada ya Mh. Sitta kutangaza uteuzi wake Profesa Lipumba alisimama na kujitoa katika nafasi hiyo hivyo kufanya nafasi za uteuzi kuwa nne badala ya Tano .

No comments:

Post a Comment