Wednesday, March 12, 2014

TATHMINI YA HALI YA UHALIFU MKOANI MBEYA





 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIJESHI LA POLISI TANZANIA.
RPC. Ofisi ya Kamanda wa Polisi,Mkoa wa Mbeya, Namba ya simu 2502572 S. L. P. 260,Fax +255252503734 MBEYA.E-mail:- rpc.mbeya@tpf .go.tz
MKUTANO WA KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA NA VYOMBO VYA
HABARI “PRESS CONFERENCE” TAREHE 11.03.20
14.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi
Ahmed Z. Msangi
anatumia fursa hii kukutana na Waandishi wa Habari wa Mkoawa Mbeya kutoka Vyombo mbalimbali wa Habari ikiwa ni nafasi ya kutoatathmini ya Hali ya Uhalifu kwa Mkoa wa Mbeya pia kusikia maoni, ushauri nachangamoto mbalimbali kutoka kwa waandishi wa habari kwa lengo la kujenga nakuboresha utoaji wa huduma bora kwa wananchi.
TATHIMINI YA HALI YA UHALIFU MKOA WA MBEYA KWA KIPINDI CHA FEB-2014 IKILINGANISHWA NA KIPINDI CHA MWEZI JAN- 2014.1.
TATHMINI YA MAKOSA YOTE YA JINAI
.Katika kipindi hicho cha
Feb
 – 
2014
 jumla ya makosa
2,003
yaliripotiwa, wakati kipindikama hicho mwezi
Jan
 – 
 2014
 makosa
2,438
 yaliripotiwa, hivyo kuna
pungufu
 ya makosa
435
sawa na asilimia
18.2.
TATHMINI YA MAKOSA MAKUBWA YA JINAI.
Katika kipindi hicho cha
Feb
 – 
 2014
 jumla ya makosa
makubwa 196
yaliripotiwa,wakati kipindi cha mwezi
Jan-2014
 makosa
212
yaliripotiwa, hivyo kuna
pungufu
 ya makosa
16
sawa na asilimia
8.3.
TATHMINI YA MAKOSA YATOKANAYO YA JITIHADA ZA JESHI LAPOLISI KWA KUSHIRIKIANA NA WANANCHI NA WADAU WENGINE.
Aidha katika kipindi cha
Feb
 – 
 2014
makosa makubwa yatokanayo na jitihada zaJeshi la Polisi kwa kushirikiana na wananchi na wadau mbalimbali katika kufanya doria,misakona operesheni katika kupambana na uhalifu na wahalifu yaliripotiwa matukio
40,
wakati kipindimwezi
Jan- 2014
 yaliripotiwa makosa
56
, hivyo kuna
pungufu
ya matukio
16,
sawa na asilimia
29.
4.
TATHMINI YA MAKOSA YA USALAMA BARABARANI.
Kwa upande wa makosa ya usalama barabarani jumla ya makosa/matukio yoteyaliyoripotiwa katika kipindi cha
Feb
 – 
 2014
 yakiwemo makosa ya ukiukwaji wa sheriaza usalama barabarani na usafirishaji ni
3,817
wakati kipindi mwezi
Jan- 2014
 yaliripotiwa makosa
4,416
hivyo kuna
pungufu
 ya makosa
599
sawa na asilimia
14.


Matukio ya ajali yaliyoripotiwa kwa kipindi cha
Feb
 – 
2014
 yalikuwa
29
wakati kipindicha
Jan- 2014
 yalikuwa
38
hivyo kuna
upungufu
 wa matukio
9
sawa na asilimia
24.
 Matukio ya ajali za vifo yaliyoripotiwa
Feb
 – 
 2014
 yalikuwa
15
wakati kipindi cha
Jan-2014
 yaliripotiwa matukio
27
hivyo kuna
pungufu
 ya matukio
12
sawa na asilimia
44.
Watu waliokufa kipindi cha
Feb- 2014
 walikuwa
18
 wakati
Jan -2014
 walikuwa
30
hivyo kuna
pungufu
 ya watu
12,
sawa na asilimia
 40.
 Watu waliojeruhiwa kipindi cha
Feb
 – 
 2014
walikuwa watu
22
wakati
Jan
 – 
 2014
 walikuwa watu
49
hivyo kuna
pungufu
 ya watu
27
sawa na asilimia
55.
Katika kipindi cha
Feb 2014
 jumla ya makosa
3,788
 ya ukiukwaji wa sheria zausalama barabarani na usafirishwaji yalitozwa faini sawa na tozo la
Tshs
100,920,000/=
ikilinganishwa na tozo la
 Tshs
131,340,000/=
iliyokusanywa katika kipindi
Jan - 2014
kutokana na makosa
 4,378,
 hivyo kuna
pungufu
 la kiasi cha
tshs
30,420,000/=
sawa naasilimia
23.5. MAJEDWALI KUONYESHA HALI YA UHALIFU.MCHANGANUO WA MAKOSA YOTE MAKUBWA YA JINAI NA USALAMABARABARANI KWA KIPINDI CHA FEB - 2014 IKILINGANISHWA NA KIPINDICHA MWEZI JANUARI, 2014.MAKOSA FEB
 – 
 2014 JAN
 – 
 2014 TOFAUTI +/- ASILIMIA %MAKOSA DHIDI YA BINADAMU
MAUAJI 17 22 -5 -23KUBAKA 36 44 -8 -18KULAWITI -1 -17KUTUPA MTOTO -1 -100USAFIRISHAJIBINADAMU+3 +300
JUMLA 61 73 -12 -16
MAKOSA DHIDI YA KUWANIA MALI
UNYANG’ANYI WA
K/SILAHA-1 -50
UNYANG’ANYI WA
K/NGUVU13 +4 +44UVUNJAJI 36 26 +10 +38WIZI 291 440 -149 -34WIZI WA PIKIPIKI 11 20 -9 -45WIZI WA MIFUGO 18 15 +3 +20
JUMLA 370 512 -142 -28
MAKOSA DHIDI YA MAADILI YA JAMII[YATOKANAYO NA JITIHADA ZA POLISI KWA USHIRIKIANO NA WADAU NAWANANCHI MBALIMBALI]
KUPATIKANA NASILAHA2 - -BHANGI 18 26 -8 -31 NYARA ZA SERIKALI -3 -300POMBE YA MOSHI. 17 15 +2 +13WAHAMIAJI HARAMU +3 +300
JUMLA 40 46 -6 -13

0.
MATUKIO YA USALAMA BARABARANI KWA KIPINDI FEB - 2014 NA JAN 2014
MATUKIO 3,817 4,416 -599 -14MATUKIO YA AJALI 29 38 -9 -24AJALI ZA VIFO 15 27 -12 -44WALIOKUFA 18 30 -12 -40WALIOJERUHIWA. 22 49 -27 -55AJALI ZA MAJERUHI 14 11 +3 +27MAKOSA YAUKIUKWAJI WASHERIA ZA USALAMABARABARANI NAUSAFIRISHAJI3,788 4,378 -590 -14TOZO [NOTIFICATION] 100,920,000/= 131,340,000/= -30,420,000/=
-23
WITO WA KAMANDA:
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi AhmedZ. Msangi anatoa wito kwa wananchi kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifasahihi na kwa wakati za wahalifu na uhalifu katika maeneo mbalimbali ikiwa ni kwa ya ujumbemfupi wa maneno, mazungumzo ya simu au kwa kufika moja kwa moja kituo cha Polisi.Halikadhalika Jeshi la Polisi katika kuhakikisha linafanya kazi kwa karibu zaidi nawananchi, tumeunda Vikosi Kazi [Task Forces] kwa ngazi ya Kata na Tarafa. Kwa takwimu zasasa, Mkoa wa Mbeya una jumla ya Kata 218 na Tarafa 27. Kwa Kuzingatia Weledi katika kutoahuduma bora kwa Wananchi, Jeshi la Polisi, limeweka Askari Kata katika kila Kata ambayeanashilikiana kwa karibu zaidi na wananchi na Uongozi wa Serikali ya Mtaa/Kijiji katika utoajiwa huduma. Sambamba na hilo, Jeshi la Polisi kwa sasa lina Mkaguzi wa Tarafa katika kilaTarafa ambaye anafanya kazi na kikosi chenye jumla ya askari wasaidizi wapatao 15. Lengo laJeshi la Polisi ni kuimarisha ulinzi na usalama na kuhakikisha linafanya kazi na Wananchi kwakaribu zaidi ikiwa ni pamoja na kutambua maeneo yenye wahalifu/uhalifu na kuyashughulikiakwa haraka.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya pia anatoa shukrani kwa waandishi wa habari waMkoa wa Mbeya kwa ushirikiano mkubwa wanaoonyesha kwa Jeshi la Polisi na kwa wananchikwa njia ya kuhabarisha umma.Aidha anatoa wito kwa waandishi wa habari kuzingatia maadili ya kazi yao ya uandishi
wa habari [media ethics] ili kuepuka kupotosha umma na kuleta machafuko nchini. “Ni imani
yetu kuwa vyombo vya habari vinapotumika vizuri yaani kwa kufuata na kuzingatia maadili yakazi ni matumaini yetu uleta mabadiliko na maendeleo kwa jamii husika, ni wajibu wetukufikisha ujumbe sahihi na kwa wakati, ni wakati wa kuandaa vipindi vya kuelimisha jamii[educative programmes], vipindi vya kuhabarisha [informative programmes], vipindi vyakuhabarisha na kuburudisha [infortainment programmes] kwa lengo la kujenga misingi mizuri naimara zaidi kwa jamii kwa ujumla hasa vijana na watoto.Rai yangu kwa wamiliki wa vyombo vya habari kujijengea tabia ya kufanya tathmini yautendaji wao ikiwa ni pamoja na kukusanya maoni kutoa kwa wasikilizaji. Pia ni vyema kufanya jitihada za dhati kutanua usikivu wa matangazo ya vyombo vya habari [media coverage] kwanikuna wananchi wengi wenye mahitaji ya kupata matangazo sambamba na kupata elimu kupitiavyombo vya habari.
Imetolewa na:[AHMED Z. MSANGI
 – 
 SACP]KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.

No comments:

Post a Comment