VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA TATU
MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA MEJA JENERALI RAPHAEL MUHUGA
ANAWATANGAZIA VIJANA WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA MWAKA 2013, AMBAO
HAWAJAJIUNGA NA JKT, KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT AWAMU YA TATU.VIJANA HAO WANATAKIWA KULIPOTI KATIKA MAKAMBI WALIYOPANGIWA KUANZIA TAREHE 28 SEPTEMBA 2013 HADI 05 OKTOBA 2013. KIJANA ATAKAYERIPOTI KAMBI AMBAYO HAKUPANGIWA HATAPOKELEWA.INASISITIZWA KUWA KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA NI LAZIMA. HIVYO NI WAJIBU WA KILA MUHITIMU KUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT.
TANGAZO HILI HALIWAHUSU VIJANA WALIOHITIMU MAFUNZO YA JKT AWAMU YA KWANZA NA YA PILI.
KWA TAARIFA ZAIDI TEMBELEA TOVUTI YA JKT WWW.JKT.GO.TZ.
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA
MAKAO MAKUU YA JESHI LA KUJENGA TAIFA
No comments:
Post a Comment