@absakibanda @zittokabwe Wauza magazeti wote wasiposhika Mwananchi mkononi wanaona hawakamilika.. and Now Mtanzania nalo haliko sokoni?????
— Humphrey Simba (@simbahd) September 29, 2013
Sunday, September 29, 2013
KIBANDA: TUMEWAPONZA MWANANCHI
Tumewaponza Mwananchi. Ni kweli ndani ya serikali linawakera, kupitia kwetu Mtanzania wamepata sababu @zittokabwe @jjmnyika @HusseinBashe
— Absalom Kibanda (@absakibanda) September 29, 2013
Dialogue strengthens nations sustainably. http://t.co/5mZgHVk6hU
— Zitto Zuberi Kabwe (@zittokabwe) September 29, 2013
NCHI YETU INGALI TULIVU
Amani na utulivu haviji kwa kuyafungia Magazeti. Taaluma yetu imevamiwa na viongozi wanaotaka kupakwa rangi nzuri na kusafishwa kupitia sisi
— Butrije Hamis Butije (@ButijeHamis) September 29, 2013
HATA YESU ALITUMIA "Twetter"
VATICAN CITY, Vatican
KANISA Katoliki limesema Yesu Kristu ndiye muasisi wa mawasiliano ya mtandao wa kijamii ‘tweeter’ kupitia katika mafundisho aliyotoa kwa wafuasi wake.
Askofu Mkuu wa Vatican, Mwadhama Gianfranco Kardinali Ravasi (pichani) alibainisha hayo ambapo alisema kwa vile mafundisho ya Yesu yalikuwa ni mafupi na yenye ujumbe ni sawa na mtandao huo.
Katika mkutano na waandishi wa habari Jumatano alisema Yesu alitumia tweeter kabla ya mtu yeyote kuanza kufanya hivyo kwani alitumia maneno chini ya 45 na yalieleweka.
Kardinali Ravasi alitolea mfano moja ya mafundisho aliyotoa yakiwemo ‘Mpendane’ ambapo alisema ingawa ni neno moja, limetoa ujumbe mzito kwa watu.
Subscribe to:
Posts (Atom)