Vurugu zilizoibuka leo kati ya waislam na wakristo katika eneo la Buselesele mkoani Geita zimesababisha vifo vya watu wawili na wangine kadhaa kujeruhiwa.
Vurugu hizo zimeibuka baada ya baadhi ya waumini wa kikristo kuendesha zoezi la kuchinja nyama ya ngombe wakitii agizo lililotolewa na viongozi wa mwadhehebu ya kikikristo mkoani mwanza kuwaagiza wakristo kuacha kula nyama iliyochinjwa kwa imani ya kiislam na kuwataka wachinje nyama yao kwa mujibu wa imani ya kikristo.
Habari zililoifikia Tanganyika One zimedai kuwa waliopoteza maisha ni mchungaji wa kanisa moja pamoja na muumuini wa dini ya kikristo.
Kwa sasa hali ya utulivu imerejea na kikao cha kamati ya ulinzi ulinzi na usalama ya mkoa wa geita ipo kwenye kikao cha dharura kujadili kadhia hiyo
CHANZO: MAHOJIANO

No comments:
Post a Comment