Saturday, November 24, 2012

WAISLAM WAADHIMISHA SIKU YA "ASHURA" KWA KUCHANGIA DAMU SALAMA

Waumini wa Kiislam wa dhehebu la SHIA Ithnaasharia wakiadhima siku ya "Ashura" kwa kuchangia damu katika mpango wa uchangiaji wa damu salama. Hao ni baadhi ya waumini waliofika katika ofisi za bank ya damu salama kanda ya ziwa iliyoko Bugando jijini Mwanza.
Siku ya Ashura ni siku aliyofariki Imam Hussein mjukuu wa Mtume Muhammad (s.a.w) 

1 comment:

  1. Hongereni sana kwa kujitolea kuchangia damu, japokuwa waislamu kwa ujumla wetu tunamsiba mkubwa wa kufiwa na Imamu Hussein (as.

    ReplyDelete