Saturday, November 24, 2012

JUMUIA YA SHIA ITHNAASHARIA WAADHIMISHA SIKU YA ASHURA KWA KUCHANGIA DAMU.

Waumini wa kiislam wa dhehebu la Shia Ithnaasharia wakichangia damu katika mpango wa uchangiaji wa damu salama wakati wakiadhimisha siku ya "ASHURA" hii leo. siku hii inakumbukwa kuwa ndio siku alouawa Imam Hussein mjukuu wa Mtume Muhammad (s.a.w)
Pichani chini kushoto ni Kaimu mwenyekiti wa mpango wa damu salama kanda ya ziwa Bw. Inocent Byebesa na kulia ni Mwenyekiti wa jumuia ya Shia Ithnaasharia Bw. Syptain Meghji.

No comments:

Post a Comment