Friday, November 1, 2013

ZITTO: "ETI MIMI NI KIKWAZO KWA WAO KUONGEZEWA POSHO"

"Enyi Watanzania, wabunge wenu wanataka posho ziongezwe na mishahara. Mbunge mmoja wa upinzani kanisemea mbovu huko Dodoma kwenye kikao cha wabunge eti mimi ni kikwazo kwa wao kuongezewa posho. Kasema nikiwa Arusha nakaa chumba cha dola 600 kwa siku. Hivi Hoteli gani Arusha ina chumba dola 600 kwa siku? Albert Msando naomba msaada nikija Arusha unionyeshe hiyo hotel japo nione chumba cha dola 600 kinafafanaje...."

No comments:

Post a Comment