@ButijeHamis Vyanzo vya maji vikitunzwa ipasavyo vitasaidia kuinua uchumi wa watanzania kwan fedha & muda mwing hupotea katika kutafyta maji
— Tanganyika One Blog. (@tanganyikaone) September 27, 2013
Friday, September 27, 2013
TUVITUNZE VYANZO VYA MAJI
The only friend you can rely on. Holding on into the little boy so he doesn't fall into the ditch. pic.twitter.com/xiZT1uZ6oU
— January Makamba (@JMakamba) September 27, 2013
Tweetter conv.
Maendeleo ta ya nchi yeyote husuan Tanzania yanahitaji uzalendo na kufanya kazi kwa bidii. NEPOTISM inaturudisha nyuma watanzania
— Butrije Hamis Butije (@ButijeHamis) September 27, 2013
WARIOBA: "HAKIKISHENI KATIBA MPYA NI YA MAONI YA WANANCHI" ASEMA SHERIA YA MABADILIKO YA KATIBA INAMAPUNGUFU
.
Jaji Warioba alisema maoni yaliyomo katika Rasimu
ya Katiba yametokana na maoni ya wananchi, hivyo lazima yalindwe ili
kudumisha amani... “Kilichomo katika Rasimu ya Katiba ni maoni ya
wananchi, wasije wakafanya makosa ya kutoa maoni haya. Haya yametoka kwa
wananchi na wao ndiyo watakuwa na sauti ya mwisho kuhusu mchakato huu,”
alisema na kuongeza: “Wahakikishe kwamba mawazo yaliyotolewa na
wananchi yanaingia katika Katiba Mpya, wasithubutu kuyatoa maana
wananchi wanaweza kukataa hali hiyo.”
Wakati wananchi wa kada mbalimbali wakishinikiza Rais Jakaya Kikwete kutokusaini Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba 2013, kwa maelezo kuwa una kasoro, Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba naye amesema sheria ina upungufu.

Subscribe to:
Posts (Atom)